NENO LA LEO; Hapa Ndipo Alipo Anayetaka Kukurudisha Chini.

By | April 3, 2015
“Whoever is trying to bring you down is already beneath you.” ― Habeeb Akande Yeyote anayekazana kukurudisha chini, tayari yupo chini yako. Angalia kwa makini kwenye maisha yako, kazi yako na hata biashara yako. Angalia wale watu ambao wanajaribu kukurudisha chini, angalia wale watu ambao wanakukatisha tamaa, angalia wale watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In