UKURASA WA 92; Usipoteze Muda Kwa Vitu Vidogo Vidogo.

By | April 2, 2015
Tunaishi kwneye dunia yenye kelele nyingi sana. Maendeleo makubwa yaliyokuja kwenye teknolojia pia yameleta usumbufu mkubwa sana. Kwa simu hizi za kisasa tunazotumia, unaounganishwa na dunia nzima kwa masaa 24 kwa siku. SOMA; BIASHARA LEO; Ondoka, Hakuna Aliyekuita Hapa. Unaweza kuona ni kitu kizuri, kuweza kupata kila taarifa inayotokea masaa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In