BIASHARA LEO; Kama Unabadili Bei Kamwe Usifanye Hivi…

By | April 9, 2015
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mafunzo ninayotoa utakuwa unaelewa kwamba tunajaribu kujenga utamaduni mpya kwenye biashara. Na utamaduni huu ni ule wa kufanya biashara kirafiki na kuwa na wateja ambao wanakuamini na kukutegemea. Mbinu nyingi tunazoshirikishana ni za kuweza kumfanya mteja awe rafiki yako na afurahie kufanya biashara na wewe.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In