Tag Archives: MBINU ZA BIASHARA

BIASHARA LEO; Kama Bado Hujawa Tayari Kuingia Kwenye Biashara…

By | May 23, 2015

Watu wengi wamekuwa wakiniandikia kwamba wanataka kuanza biashara ila bado hawajawa tayari. Wanakuwa na sababu nyingi ambazo huzitumia na hufikiria wakimaliza mambo fulani kwanza ndio wataingia kwenye biashara. Sasa kama na wewe ni mmoja wa watu ambao wanafikiria kwamba bado hawajawa tayari kuingia kwenye biashara, nataka nikuambie kitu kimoja, hakuna (more…)

BIASHARA LEO; Hili Ndio Kosa Kubwa Unaloweza Kufanya Kwenye Biashara Yako.

By | April 30, 2015

Sote tunajia kwamba biashara zina changamoto nyingi sana. Na sehemu kubwa ya changamoto hizi huwa tunazitengeneza sisi wenyewe kwa kufanya au kutokufanya mambo fulani. Na kila changamoto tunayokutana nayo kwenye biashara tunaweza kuitatua kama tukijua njia sahihi za kuikabli changamoto husika. Kupitia kipengele hiki cha BIASHARA LEO hapa kwenye KISIMA (more…)

BIASHARA LEO; Kama Unabadili Bei Kamwe Usifanye Hivi…

By | April 9, 2015

Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mafunzo ninayotoa utakuwa unaelewa kwamba tunajaribu kujenga utamaduni mpya kwenye biashara. Na utamaduni huu ni ule wa kufanya biashara kirafiki na kuwa na wateja ambao wanakuamini na kukutegemea. Mbinu nyingi tunazoshirikishana ni za kuweza kumfanya mteja awe rafiki yako na afurahie kufanya biashara na wewe. (more…)