MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Hivi ndivyo unavyoweza kuwahamasisha wafanyakazi wako ili wawe na uzalishaji mkubwa.
Katika makala mbili zilizopita tumekuwa tunajadili kuhusu mteja muhimu na wa kwanza kwenye biashara yako. Tuliona mteja huyu ni mfanyakazi au wafanyakazi wako uliowaajiri kwenye biashara yako. Hawa ni watu ambao wanatakiwa kuwa washabiki wa kwanza kabisa wa kile amabcho unafanya. Wanatakiwa kuwa wanakipenda na wapo tayari kuwashawishi wengine wajihusishe