UKURASA WA 112; Njia Kuu Mbili Za Kuishi.

By | April 22, 2015
Kuna njia kuu mbili za kuishi maisha yako hapa duniani. Njia ya kwanza ni kuishi kama ambavyo watu wanataka wewe uishi. Ufanye yale ambayo watu wanakutegemea uyafanye hata kama sio yanayokufurahisha au sio muhimu kwako. Ufanye kile ambacho kila mtu anafanya hata kama huna msukumo wowote wa kufanya hivyo. Hii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In