UKURASA WA 113; Fursa Zinaweza Kukupoteza…

By | April 23, 2015
Fursa Fursa Fursa….. Katika wakati wowote ule kwenye maisha yako na katika jambo lolote unalofanya, kuna fursa nyingi sana ambazo zimekuzunguka. Na kama ukiwa macho ndio fursa zinazidi kuwa nyingi. Kwa kuwa wewe ni mtu ambaye unataka kuboresha maisha yako na kufikia mafanikio makubwa inabidi uzichangamkie fursa hizi, si ndio?

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In