UKURASA WA 115; Hivi Ndivyo Unavyojitengenezea Dharura.

By | April 25, 2015
Maisha sio dharura, ila sisi wenyewe huwa tunayafanya yawe dharura. Kama utakuwa na malengo na mipango yako, halafu ukaifanyia akzi kwa wakati, hakuna wakati wowote ambao utaona una dharura. Ila hutakuwa na mipango na kufanya mambo pale unapojisikia, kuna wakati utajikuta kwneye dharura kubwa sana. Na hapa ndipo matatizo yote

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In