UKURASA WA116; Usiwasikilize Watu Hawa.

By | April 26, 2015
Kuna watu kazi yao ni kupinga tu. Yaani watu wa aina hii hakuna kitu unaweza kufanya waache kupinga au kukosoa. Na hata utaka[ojaribu kujitetea watayapinga maelezo yako pia. Ni muhimu sana kuwajua watu hawa na kutowapa nafasi kubw akwenye akili yako. Usiogope kuendelea na mipango yako kwa sababu tu mtu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In