UKURASA WA 119; Njia Ya Uhakika Ya Kuondokana Na Hofu.

By | April 29, 2015
Hebu jiulize kama isingekuwa hofu leo hii ungekuwa wapi? Fikiria mipango yote ambayo umewahi kuwa nayo kwa muda mrefu lakini ilipofika utekelezaji tu, hofu ikabisha hodi na ikakufanya usidhubutu hata kuanza. Kumbuka jinsi ambavyo umekuwa unahofia kushindwa, umekuwa unahofia kukataliwa, umekuwa unahofia kwamba utapata hasara kubwa. Umeacha kufanya kile ulichopanga

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In