UKURASA WA 123; Kazi Kama Bidhaa…

By | May 3, 2015
Kazi au shughuli yoyote unayofanya ni sawa na bidhaa iliyopo sokoni, kama thamani yake kwa sasa haikuridhishi, ongeza uhitaji wake na thamani yake itakua. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kwamba kazi wanayofanya inawapa kipato kidogo. Au biashara wanayofanya haiwapatii faida ya kutosha. Watu hawa huishia kulalamika tu bila ya kuchukua hatua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In