UKURASA WA 124; Kuwa Tone La Asali…

By | May 4, 2015
Tone la asali linavutia inzi wengi kuliko ndoo nzima iliyojaa nyongo. Unapokuwa mwema na unapofanya mema unawavutia watu wengi kuliko unavyokuwa na ubaya na kutenda mabaya. Hata kama unafanya jambo dogo kiasi gani, kama ni jema endelea kulifanya litawafikia wengi na kuwasaidia wengi pia. Usifiche chochote kizuri ambacho unacho, usiogope

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In