MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 125; Huoni Kwa Sababu Hutaki Kuona.
Kuna vitu vingi sana ambavyo vinatokea hapo ulipo. Kuna fursa nyingi sana ambazo zimekuzunguka. Kuna mambo mazuri sana kwenye maisha yako na hata kazi/biashara yako ambayo ukiweza kuyatumia vizuri yatakuletea mafanikio makubwa. SOMA; Kitu Pekee Kinachoweza Kuiharibu Siku Yako Na Jinsi Unavyoweza Kuepuka… Lakini wewe huyaoni. Huyaoni sio kwa sababu