Changamoto ya kuendesha biashara wakati bado umeajiriwa.

By | May 18, 2015
Ni hali iliyowazi kwamba maisha yanakuwa magumu kadiri siku zinavyokwenda. Na gharama za maisha zinaongezeka huku vipato vya Ajira vikibaki pale pale au kuongezeka kidogo sana. Hali hii imewafanya waajiriwa wengi kujiingiza kwenye ujasiriamali. Hivyo licha ya kipato cha ajira wanapata kipato kingine cha ziada kupitia ujasiriamali wanaofanya. Waajiriwa wanakuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In