UKURASA WA 143; Wewe Ni Sumaku…

By | May 23, 2015
Wewe ni sumaku inayoishi. Nafikiri unaijua sumaku, na unajua tabia za sumaku. Kama umesahau sumaku, ni chuma ambacho kina uwezo wa kuvuta vyuma vingine. Sumaku haiwezi kuvuta kila kitu, ila inaweza kuvuta vile vitu ambavyo vinatabia za kufanana na sumaku. Sumaku itavuta chuma, lakini haiwezi kuvuta plastiki. Wewe ni sumaku

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In