Jenga biashara yako kwenye misingi hii mitatu na itakuwa imara.

By | May 25, 2015
Kuna biashara nyingi ambazo zinaanzishwa lakini hazifiki mbali. Kuna biashara ambazo zimekuwepo kwa kitambo kirefu lakini hazina mabadiliko yoyote kwenye ukuaji, na baada ya muda zinakufa kabisa. Sio kwamba wanaoanzisha biashara hizi hawana mawazo mazuri, wengi wana mawazo mazuri ya biashara. Wengi wanakuwa wamefanya biashara yenye mafanikio lakini baada ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In