UKURASA WA 145; Kitu Pekee Unachoweza Kukidhibiti Kwenye Maisha Yako.

By | May 25, 2015
Mara nyingi huwa tunafikiri wkamba tunaweza kuwadhibiti watu, kudhibiti hali zinazotokea, kudhibiti fedha na mambo mengine mengi. Ila tunapojaribu kudhibiti vizu hivi tunashindwa vibaya sana. Kwa kushindwa huku tunaweza kujiona kama hatufai au hatuwezi kuendesha maisha yetu vizuri. Leo nataka nikuambie kwamba kushindwa kudhibiti vitu hivyo unavyotaka kudhibiti hakumaanishi kwamba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In