MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Jinsi ya kutumia wateja wako kama sehemu ya kutangaza biashara yako.
Linapokuja swala la kutangaza biashara, watu hufikiria matangazo kwenye vyombo vikubwa vya habari, kupata tangazo wakati wa taarifa ya habari, ambapo watu wengi wanaangalia. Au kudhamini michezo inayofuatiliwa na wengi. Au kuweka bango kubwa kwenye eneo ambalo watu wengi wanapita. Hizi zote ni njia nzuri za kutangaza biashara yako, ila