BIASHARA LEO; Umuhimu Wa Mafunzo kwa wafanyakazi wako na jinsi ya kuyapata.

By | June 8, 2015
Wafanyakazi wako ni watu muhimu sana kwenye biashara yako. Hawa ni watu ambao wataiwezesha biashara yako kufanikiwa au kushindwa. Wafanyabiashara wengi wamekuwa hawalipi uzito eneo la wafanyakazi. Wengi wamekuwa wakiajiri wafanyakazi kwa sababu tu ni rahisi kuwalipa na hawatawasumbua, hivyo wafanyakazi hawa wanakuwa hawana ujuzi wowote wa biashara. Kwa kufanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In