UKURASA WA 174; Je Unafanya Kile Unachopenda Au Unachotegemewa Kufanya?(Na Mbinu Za Kuweza Kufanya Kile Unachopenda Kufanya)

By | June 23, 2015
Ni jambo la kushangaza kwenye maisha kwamba baadhi yetu tunaishi maisha ambao hata hatuyajui. Tunatumia muda wetu mwingi kuishi maisha ambayo hata hatukupanga kuyaishi. Tunajikuta tunaishi maisha tofauti kabisa kwa sababu tunalazimika kuishi maisha ambao kila mtu anaishi. Tumeshazungumza sana kuhusu kuishi maisha ya wengine, leo ngoja tuzungumze kufanya kazi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In