UKURASA WA 183; Hakuna Anayekuchukia Wewe, Bali Wanahamisha Chuki Zao Kutoka Hapa.

By | July 2, 2015
Leo naomba tujadili kidogo kuhusu mtu kumchukia mwingine. Labda tuseme wewe kuna mtu anakuchukia, na amekuwa akikuonesha wazi wazi kwamba anakuchukia. Na hapa wewe huna tatizo lolote na mtu huyu. Unajaribu kuishi maisha yako bila hata ya kuingilia maslahi yao wala kuwavurugia chochote ambacho ni chao, lakini mtu anachagua tu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In