ONGEA NA KOCHA; Epuka Vipimo Hivi Viwili Ambavyo Jamii Inakupima Navyo.

By | July 4, 2015
#ONGEA_NA_KOCHA Kwa miaka mingi dunia imekuwa inatupima kwa mambo haya mawili makuu… Wanawake wamekuwa wakipimwa kwa kuonekano wao. Ni mzuri au sio mzuri? Wanaume wamekuwa wakipimwa kwa umiliki wao. Je ana hela au hana hela, ana mali au hana mali? Jamii nzima tumekuwa tukifanya hivi japo kwa unafiki tunaweza kukataa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In