Tag Archives: ONGEA NA KOCHA

ONGEA NA KOCHA; Epuka Vipimo Hivi Viwili Ambavyo Jamii Inakupima Navyo.

By | July 4, 2015

#ONGEA_NA_KOCHA Kwa miaka mingi dunia imekuwa inatupima kwa mambo haya mawili makuu… Wanawake wamekuwa wakipimwa kwa kuonekano wao. Ni mzuri au sio mzuri? Wanaume wamekuwa wakipimwa kwa umiliki wao. Je ana hela au hana hela, ana mali au hana mali? Jamii nzima tumekuwa tukifanya hivi japo kwa unafiki tunaweza kukataa. (more…)