MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 197; Una Sababu Moja Tu, Nyingine Zote Ni Kuchagua.
Umekuwa ukisikia mara nyingi kwamba kosa sio kutenda kosa, bali kosa ni kurudia kosa. Hii ikiwa na maana kwamba unapofanya jambo kwa mara ya kwanza na ukapata majibu ambayo hukutegemea kupata, tunaweza kukusamehe. Ila tunatarajia kwamba uwe umejifunza kwamba njia uliyotumia mwanzo haileti majibu unaotaka. Sasa kama wewe utarudia tena