Mambo yanapokwenda vibaya kwenye biashara yako fanya hivi.

By | July 20, 2015
Mara nyingi wafanyabiashara huwa tunakuwa na mipango mizuri sana ya mambo yanapokwenda vizuri. Na mipango yetu hii tumeiweka tukiamini kwamba mambo yatakwenda vizuri wakati wote. Lakini haya ni maisha, na kama ilivyo sheria ya maisha, hakuna kitu kilichonyooka, hata bara bara nzuri bado ina kona. Hivyo kuna wakati kwenye biashara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In