Biashara ni uaminifu na sio pata potea.

By | August 3, 2015
Katika matatizo mengi ambayo wafanyabiashara na wajasiriamali wanakutana nayo kila siku kwenye maisha yao ya kibiashara, mengi yanaanzia kwenye mtazamo wao juu ya biashara wanayofanya. Hiki kinakuwa kikwazo kikubwa sana kwao kuendesha biashara yenye mafanikio. Kwa kuwa mtazamo ni kitu kinachoanzia ndani ya mtu kabisa, hata pale mtu anapopata elimu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In