UKURASA WA 223; Hatua Moja Ndogo Kila Siku Ndio Kitu Pekee Unahitaji.

By | August 11, 2015
Watu huwa wanalalamika kwamba kuleta mabadiliko kwenye maisha yao ni vigumu sana. Lakini sio kweli. Sio kwamba ni vigumu kuleta mabadiliko, ila mpango wetu wa mabadiliko ndio unakuwa mgumu. BADILI KITU KIDOGO KILA SIKU, BAADA YA MUDA MAISHA YAKO YOTE YATAKUWA YAMEBADILIKA. Kwa mfano mtu anapanga kubadili milo yake ili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In