UKURASA WA 224; Ulinganisho Usio Muhimu Kwako.

By | August 12, 2015
Kuna mtu ambaye ni mrefu kuliko wewe, au mfupi kuliko wewe au mzuri kuliko wewe. Kuna mtu ambaye kazi yake au biashara yake ni bora kuliko yako. Kuna mtu ambaye kipato chake ni kikubwa kuliko chako. Au kama unatumia mitandao ya kijamii, kuna mtu ambaye ana marafiki wengi kwenye mitandao

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz