UKURASA WA 233; Ni Vikwazo Gani Unaendelea Kujiwekea Kwenye Maisha Yako.

By | August 21, 2015
Sehemu kubwa sana ya vikwazo vinavyokuzuia wewe kuishi yale maisha unayotaka vinatoka ndani yako mwenyewe. Hakuna mtu mwingine anayevisababisha ila wewe mwenyewe. CHOCHOTE KINACHOKUZUIA UMEKIWEKA AU KUKUBALI MWENYEWE. VUNJA VIKWAZO VYOTE LEO. Umekuwa unapanga vizuri kabisa ya kwamba utafanya kitu fulani, lakini unakuja na lakini ambazo unaweza kujishawishi vizuri sana.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz