UKURASA WA 237; Siku Sio Nyingi….

By | August 25, 2015
Siku sio nyingi wanaokuambia kwamba huwezi wataachana na wewe na kuendelea na maisha yao, au kutafuta mtu mwingine wa kumwambia hivyo. Siku sio nyingi wanaokunyooshea kidole watachoka na kuendelea na mambo yao mengine. USIPOKATA TAMAA WANAOKUKATISHA TAMAA WATAKATA TAMAA WENYEWE. Siku sio nyingi wanaokuambia utajuta kwa maamuzi uliyofanya watachoka kuendelea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In