UKURASA WA 267; Wakati Wa Mabadiliko Na Kinachochochea Mabadiliko Ya Kweli.

By | September 24, 2015
MABADILIKO MBELE. Moja; watu hatupendi mabadiliko. Ndio hatupendi kabisa. Hatujui ni kitu gani kitakachotokea baada ya mabadiliko na hivyo hii inatuletea hofu zaidi. Tunapenda kufanya kile ambacho tuna uhakika nacho, “nikifanya kazi mwisho wa mwezi nitapewa mshahara. Nikiingia kwenye biashara sina uhakika kama nitapata wateja”. Hivyo hili linawazuia wengi kubadilika.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In