Usikubali mtu yeyote awe mzigo kwako.

By | October 13, 2015
Habari rafiki? Naamini unaendelea vizuri sana, hongera kwa hilo. Karibu tena kwenye mazungumzo haya baina yangu mimi na wewe rafiki yangu wa karibu. Sisi wote tuna lengo kubwa la kuwa na maisha bora kwetu na wanaotuzunguka. Kwa kufanyia kazi malengo na mipango tuliyojiwekeza. Kupitia mazungumzo haya tunashirikishana mambo muhimu sana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In