UKURASA WA 293; Maisha Ya Mashaka…

By | October 20, 2015
Ngoja nikuambie kitu, maisha ni mazuri sana. Ila maisha yanakuwa mazuri kama utayaishi kwa viwango vyako mwenyewe. Kama utaamua kuishi maisha yako kwa viwango vya wengine, maisha yako yanakuwa ya hovyo na yanakuwa maisha ya mashaka. Njia moja ambayo wengi wanatumia kuishi maisha yao kwa viwango vya wengine ni kujilinganisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz