UKURASA WA 297; Punguza Hatua….

By | October 24, 2015
Kila mmoja wetu kuna mabadiliko ambayo angependa kufanya kwenye maisha yake. Lakini wengi huwa tunashindwa kutekeleza mabadiliko haya tunayotaka. Na moja ya sababu za kushindwa kubadili ni hatua nyingi ambazo zinahusika kwenye mabadiliko haya. Huwa tunaweka hatua nyingi sana ambazo kuzipitia tu ni changamoto tosha. Kwa mfano kama umeamua kuanza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In