UKURASA WA 298; Nusu Ya Matatizo Umesababisha Wewe Na Sio Mwenzako…

By | October 25, 2015
Kama umenifahamu kwa muda mrefu, namaanisha kama umekuwa unasoma makala ninazoandika, utakuwa unaujua msimamo wangu ambao uko wazi kabisa. HAKUNA KULALAMIKA, kama kitu hukipendi kibadili, kama huwezi kukibadili achana nayo. Hii ni njia rahisi sana ya kuishi. Ukiweza kuitekeleza vyema, utajipunguzia mizigo mingi na msongo wa mawazo. Lakini utaniambia siwezi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In