WORLD CLASS; Dalili Saba Kwamba Tayari Wewe Una Mtizamo Chanya Utakaokufikisha Kwenye Mafanikio Makubwa.

By | November 11, 2015
Ni ukweli usiopingika kwamba msingi wa kwanza na muhimu sana wa wewe kuweza kufikia mafanikio makubwa ni mtazamo chanya. Unaweza kufanya kazi kwa juhudi kubwa na maarifa, ila kama mtizamo wako haupo sahihi, huwezi kufikia mafanikio makubwa. Mafanikio yoyote makubwa yanaanzia kwenye mtizamo wako kwanza na kisha ndio yanajitokeza kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In