UKURASA WA 316; Ni Sasa Au Sio Sasa.

By | November 12, 2015
Tumekuwa tunajidanganya sana, na katika kujidanganya huku tumekuwa tukipoteza muda mwingi na kushindwa kukamilisha yale ambayo ni muhimu sana kwetu. Kuna mambo mengi ambayo tunafikiri tunataka kuyafanya, na hivyo kusema tutayafanya baadae. Lakini hii baadae huwa haifiki, na wakati mwingine tunasahau kabisa kama tulishafikiria baadae tutafanya jambo kama hili. Kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In