UKURASA WA 318; Watu Watakachosema….

By | November 14, 2015
Kama utakuwa na ujasiri wa kutosha, na ukafanya kitu kikubwa, ambacho hakijawahi kufanywa na ambacho kinaweza kuwasaidia wengi. Watu hawataacha kusema, na haya ndiyo yatakayosemwa.. Kuna makumi ya watu watasema ningeweza kufanya vizuri kuliko wewe. Hawa watasema wangeweza kufanya vizuri na kwa ubora kuliko ulivyofanya wewe. Lakini cha kushangaza hawakufanya,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In