Majibu Ya Maswali Na Maoni Kuhusu Kujiunga Na KISIMA CHA MAARIFA, Kama Bado Hujajiunga Usiache Kusoma Hapa.

By | December 3, 2015
Habari za leo rafiki yangu? Naamini uko vizuri na unaendelea kufanyia kazi yale ambayo unajifunza kupitia AMKA CONSULTANTS. Ninaamini kama tumekuwa pamoja kwa muda sasa umeshaanza kuona mabadiliko fulani kwenye maisha yako, na ndio maana bado tupo pamoja, vinginevyo ungeshaacha na kutumia muda wako huu adimu kwenye mambo mengine muhimu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In