UKURASA WA 339; Kabla Hujafungua Mdomo Wako….

By | December 5, 2015
Kabla hujafungua mdomo wako, kwanza shirikisha akili yako. Kufungua mdomo kabla ya kushirikisha akili ni chanzo kikubwa cha matatizo yako na watu wengine. Kabla ya kufungua mdomo ni vizuri ukafikiri kwa kina, ili kile unachokwenda kuzungumza kiwe bora. Baadhi ya maswali unayoweza kujiuliza kabla ya kufungua mdomo wako; 1. Je

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In