Karibu Kwenye Semina; 2016 NI MWAKA WANGU WA UBORA WA HALI YA JUU.

By | December 8, 2015
Habari za wakati huu rafiki? Naamini uko vizuri na unaendelea kufanyia kazi yale unayojifunza ili kuboresha maisha yako. hongera sana kwa hilo. Rafiki sasa tumekaribia ule muda ambao watu wengi huwa wanafanya vitu ambavyo hawajui ni kwa nini wanafanya. Watu wamekuwa wakisukumwa kufanya vitu fulani kwa sababu kila mtu anafanya.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In