UKURASA WA 351; Majuto Kama Kichocheo….

By | December 17, 2015
Kila mmoja wetu kuna kitu fulani alishajutia, yaani ulishafanya kitu fulani na baadaye ukagundua ya kwamba ulikosea. Kila mmoja wetu. Lakini majuto haya hayafanani kwa kila mmoja wetu, hasa jinsi ambavyo tunayatumia kwa baadae. Kama ningejua, ningechukua ile fursa mapema…. Kama ningejua nisingeingia kwenye hii kazi au biashara…. Kama ningejua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In