UKURASA WA 359; Ukweli Na Kubembeleza.

By | December 25, 2015
Maneno ya ukweli hayabembelezi… Na maneno yanayobembeleza sio ya kweli… Hivyo ni wajibu kwako kuchagua, unataka kutoa maneno ya kubembeleza au unataka kutoa maneno ya kweli? Ukitoa maneno ya kweli, watu hawatapendezwa, na wanaweza kukuchukia, ila ni kwa muda tu. Baadaye wataelewa, kwa sababu ukweli huwa haujifichi kwa muda mrefu.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In