MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 364; Ipe Dunia Uhuru…
Mara nyingi huwa tunaing’ang’ania dunia, huwa tunajishika nayo tukiamini ndio itatupa kile ambacho tunataka. Mara nyingi pia huwa tunafikiri tunaweza kuidhibiti dunia, kuifanya iende kama vile ambavyo sisi tunataka. Kutaka itupe kila ambacho tunataka. Lakini yote haya tunayofikiri hayawezekani, na kuendelea kuyafanya ni kuipa dunia nafasi kubwa ya kukuumiza wewe.