UCHAMBUZI WA KITABU; THE 10X RULE, Tofauti Pekee Kati Ya Mafanikio Na Kushindwa.

By | January 13, 2016
Kitabu 10X RULE, yaani sheria ya mara kumi ni kitabu ambacho kinaelezea msingi mmoja muhimu sana wa kufikia mafanikio makubwa. Msingi huo ni kuchukua hatua kubwa sana katika kile ambacho unafanya. Mwandishi anaeleza mpango wowote ambao unao sasa kwenye amisha yako, basi uzidishe mara kumi. Na anza kufanyia kazi mara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: UCHAMBUZI VITABU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz