UKURASA WA 379; Vitu Viwili, Sehemu Moja, Wakati Mmoja.

By | January 14, 2016
Kama unataka kujua watu wanaopoteza muda kwenye maisha yao, wakidhani ya kwamba wanaokoa muda, ni watu ambao wanataka kufanya vitu viwili, kwa wakati mmoja na wanavifanyia sehemu moja. Ni rahisi sana ukifikiria juu juu kwamba unaokoa muda. Lakini ukweli ni kwamba unapoteza muda mwingi sana. Akili yako ina uwezo mkubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In