UKURASA WA 384; Somo Litaendelea Kujirudia Mpaka Uelewe…

By | January 19, 2016
Maisha ni darasa ambapo kila siku tunajifunza mambo mbalimbali. Tunajifunza ni njia zipi bora za kuishi, mambo gani tuwekee mkazo, na mambo gani tuyaepuke kwenye maisha yetu. Tofauti na madarasa mengine ya kwenye mfumo wa elimu, ambapo unafundishwa kwanza halafu mtihani ndio unakuja, kwenye maisha unapata mtihani kwanza halafu somo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In