UKURASA WA 390; Unajaribu Kuficha Nini?

By | January 25, 2016
Kuna kitu unaficha, na tumeshakustukia, sasa tuambie ni kipi hasa unachoficha. Unapoamua kufanya kitu kwa kawaida, kuna kitu ambacho unakificha. Unapokataa kuweka ubora wa hali ya juu sana kwenye kitu chochote ambacho unakifanya, kuna kitu unakificha. Na inawezekana unajua unachoficha au hujui. Ila leo tunakwenda kuweka kila kitu wazi, ili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In