UKURASA WA 424; Kulinganisha, Unyenyekevu Na Udadisi.

By | February 28, 2016
Unapojilinganisha na wengine, kwa njia yoyote ile unakata tamaa. Kwa sababu hata uwe bora kiasi gani, hata uwe unaweza kiasi gani, kuna ambao wanaweza kuliko wewe. Hivyo unapojilinganisha, utaona kama wewe siyo kitu, na kukata tamaa ya kuendelea kuweka ubora, hasa pale ambapo unakuwa umezidiwa sana na wengine. Hivyo basi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In