UKURASA WA 423; Kinachokuzuia Kubadili Tabia Usizozipenda.

By | February 27, 2016
Katika safari hii ya kuboresha maisha yako na kufikia mafanikio makubwa, kuna tabia nyingi sana unahitaji kuzibadili. Hii ni kwa sababu kuna tabia ambazo ulikuwa umeshajitengenezea ambazo zinakuwa kikwazo kwako kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako. Lakini zoezi la kubadili tabia siyo rahisi. Wanasema tunajenga tabia halafu baadaye tabia zinatujenga.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz